Detail Description
WarmRelief Period Belt ni mkanda maalum unaosaidia kupunguza maumivu ya tumbo wakati wa hedhi. Imetengenezwa kwa material laini na adjustable ili kukaa vizuri tumboni bila kuleta usumbufu. Inatoa joto la kutosha kusaidia kupunguza shinikizo, maumivu ya misuli na kuboresha mzunguko wa damu, hivyo kukufanya ujisikie huru na faraja zaidi wakati wa siku zako.
Faida za Bidhaa:
• Inapunguza maumivu ya hedhi (dysmenorrhea)
• Hutoa joto mwilini kusaidia kupunguza maumivu
• Adjustable – inatoshea ukubwa tofauti wa kiuno
• Material laini, haichubui wala kusumbua ngozi
• Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, kazini au safari
• Nyepesi na rahisi kuvaa ndani ya nguo