Your cart is empty, and it looks like you haven’t added anything yet.
Hii Decanter ya kisasa inakuja na glasi 6 za kuvutia – perfect kwa kuhifadhi na kutumikia vinywaji kama wine, whisky, juice, au hata maji kwa style ya kipekee.
Decanter yenye muundo wa kuvutia – inaongeza class kwenye meza yako
Inafaa kwa kuhifadhi wine, whisky, juice, au hata maji
Inakuja na glasi 6 zenye muundo wa kipekee
Imetengenezwa kwa kioo cha ubora wa juu – wazi na ng’ang’ari
Inaongeza ladha na mvuto kwenye huduma ya vinywaji
Iwe ni kwa ajili ya matumizi nyumbani, kwenye hafla, au zawadi ya kifahari – seti hii ya decanter na glasi ni chaguo sahihi kwa wale wanaopenda ubora na style.
No review given yet!
You need to Sign in to view this feature
This address will be removed from this list